8 Hata Musa alipotoka kuiendea ile hema, watu wote waliondoka wakasimama, kila mtu mlangoni pa hema yake, akamtazama Musa, hata alipokwisha kuingia hemani.
Kusoma sura kamili Kut. 33
Mtazamo Kut. 33:8 katika mazingira