Kut. 33:9 SUV

9 Ikawa Musa alipoingia humo hemani, ile nguzo ya wingu ikashuka, ikasimama mlangoni pa ile hema; naye BWANA akasema na Musa.

Kusoma sura kamili Kut. 33

Mtazamo Kut. 33:9 katika mazingira