Kut. 33:10 SUV

10 Watu wote wakaiona nguzo ya wingu ikisimama penye mlango wa hema; watu wote wakaondoka wakasujudu, kila mtu mlangoni pa hema yake.

Kusoma sura kamili Kut. 33

Mtazamo Kut. 33:10 katika mazingira