25 Usisongeze damu ya sadaka yangu pamoja na mkate uliotiwa chachu; wala hiyo sadaka ya sikukuu ya pasaka haitasazwa hata asubuhi.
Kusoma sura kamili Kut. 34
Mtazamo Kut. 34:25 katika mazingira