28 Naye alikuwa huko pamoja na BWANA siku arobaini na masiku yake; hakula chakula, wala hakunywa maji. Naye akaandika katika hizo mbao, hayo maneno ya maagano, hizo amri kumi.
Kusoma sura kamili Kut. 34
Mtazamo Kut. 34:28 katika mazingira