Kut. 34:29 SUV

29 Hata ikawa, Musa aliposhuka katika mlima Sinai, na zile mbao mbili za ushuhuda zilikuwa mkononi mwa Musa, hapo aliposhuka katika mlima, Musa hakujua ya kuwa ngozi ya uso wake iling’aa kwa sababu amesema naye.

Kusoma sura kamili Kut. 34

Mtazamo Kut. 34:29 katika mazingira