Kut. 34:30 SUV

30 Basi Haruni na wana wote wa Israeli walipomwona Musa, tazama, ngozi ya uso wake iling’aa; nao wakaogopa kumkaribia.

Kusoma sura kamili Kut. 34

Mtazamo Kut. 34:30 katika mazingira