Kut. 34:4 SUV

4 Naye akachonga mbao mbili za mawe mfano wa zile za kwanza; na Musa akainuka na mapema asubuhi, naye akakwea katika mlima wa Sinai, kama BWANA alivyomwamuru, akazichukua hizo mbao mbili za mawe mkononi mwake.

Kusoma sura kamili Kut. 34

Mtazamo Kut. 34:4 katika mazingira