Kut. 36:35 SUV

35 Kisha akafanya hilo pazia la nyuzi za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na nyekundu, na kitani nzuri zilizosokotwa; akatia na makerubi kazi ya fundi stadi, ndivyo alivyofanya.

Kusoma sura kamili Kut. 36

Mtazamo Kut. 36:35 katika mazingira