Kut. 36:4 SUV

4 Na hao watu wote wenye hekima, waliotumika katika kazi yote ya mahali patakatifu, wakaenda kila mtu kutoka katika kazi yake aliyokuwa akiifanya;

Kusoma sura kamili Kut. 36

Mtazamo Kut. 36:4 katika mazingira