Kut. 36:5 SUV

5 nao wakasema na Musa, na kumwambia, Watu waleta vitu vingi sana zaidi ya hivyo vitoshavyo kwa ajili ya utumishi wa hiyo kazi, ambayo BWANA aliagiza ifanywe.

Kusoma sura kamili Kut. 36

Mtazamo Kut. 36:5 katika mazingira