Kut. 37:16 SUV

16 Kisha, vile vyombo vilivyokuwa juu ya meza, sahani zake, na miiko yake, na bakuli zake, na makopo yake ya kumiminia, akavifanya vya dhahabu safi.

Kusoma sura kamili Kut. 37

Mtazamo Kut. 37:16 katika mazingira