Kut. 37:18 SUV

18 nacho kilikuwa na matawi sita yaliyotoka ubavuni mwake; matawi matatu ya kinara yalikuwa upande huu, na matawi matatu ya kinara yalikuwa upande huu;

Kusoma sura kamili Kut. 37

Mtazamo Kut. 37:18 katika mazingira