Kut. 4:31 SUV

31 Watu wakaamini, na waliposikia ya kuwa BWANA amewajilia wana wa Israeli, na ya kuwa ameyaona mateso yao, wakainama vichwa vyao wakasujudu.

Kusoma sura kamili Kut. 4

Mtazamo Kut. 4:31 katika mazingira