Kut. 5:1 SUV

1 Hata baadaye, Musa na Haruni wakaenda wakamwambia Farao, wakasema, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Wape watu wangu ruhusa waende, ili kunifanyia sikukuu jangwani.

Kusoma sura kamili Kut. 5

Mtazamo Kut. 5:1 katika mazingira