Kut. 5:3 SUV

3 Wakasema, Mungu wa Waebrania amekutana nasi; twakuomba, tupe ruhusa twende safari ya siku tatu jangwani, tumtolee dhabihu BWANA, Mungu wetu; asije akatupiga kwa tauni, au kwa upanga.

Kusoma sura kamili Kut. 5

Mtazamo Kut. 5:3 katika mazingira