Kut. 6:16 SUV

16 Na haya ndiyo majina ya wana wa Lawi, sawasawa na vizazi vyao; Gershoni, na Kohathi, na Merari; na miaka ya maisha yake Lawi ilikuwa ni miaka mia na thelathini na saba.

Kusoma sura kamili Kut. 6

Mtazamo Kut. 6:16 katika mazingira