Kut. 6:15 SUV

15 Na wana wa Simeoni; ni Yemueli, na Yamini, na Ohadi, na Yakini, na Sohari, na Shauli mwana wa mwanamke wa Kikanaani; hao ni jamaa za Simeoni.

Kusoma sura kamili Kut. 6

Mtazamo Kut. 6:15 katika mazingira