Kut. 6:7 SUV

7 nami nitawatwaeni kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu kwenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ni YEHOVA, Mungu wenu, niwatoaye mtoke chini ya mizigo ya Wamisri.

Kusoma sura kamili Kut. 6

Mtazamo Kut. 6:7 katika mazingira