Kut. 8:20 SUV

20 BWANA akamwambia Musa, Inuka asubuhi na mapema usimame mbele ya Farao; angalia! Atoka aende majini; kamwambie, BWANA asema, Wape watu wangu ruhusa waende zao, ili wanitumikie mimi.

Kusoma sura kamili Kut. 8

Mtazamo Kut. 8:20 katika mazingira