19 Ndipo wale waganga wakamwambia Farao, Jambo hili ni chanda cha Mungu; na moyo wake Farao ukawa mgumu asiwasikize; vile vile kama BWANA alivyonena.
Kusoma sura kamili Kut. 8
Mtazamo Kut. 8:19 katika mazingira