Kut. 9:10 SUV

10 Basi wakatwaa majivu ya tanuuni, na kusimama mbele ya Farao; na Musa akayarusha juu mbinguni nayo yakawa ni majipu yenye kufura na kutumbuka juu ya wanadamu na juu ya wanyama.

Kusoma sura kamili Kut. 9

Mtazamo Kut. 9:10 katika mazingira