Kut. 9:9 SUV

9 Nayo yatakuwa ni mavumbi membamba juu ya nchi yote ya Misri, nayo yatakuwa majipu yenye kufura na kutumbuka juu ya wanadamu na juu ya wanyama, katika nchi yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Kut. 9

Mtazamo Kut. 9:9 katika mazingira