Kut. 9:22 SUV

22 BWANA akamwambia Musa, Nyosha mkono wako kuelekea mbinguni, ili iwe mvua ya mawe katika nchi yote ya Misri, juu ya wanadamu na juu ya wanyama, na juu ya mboga zote za mashamba, katika nchi yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Kut. 9

Mtazamo Kut. 9:22 katika mazingira