Kut. 9:23 SUV

23 Musa akaunyosha mkono wake kuelekea mbinguni; na BWANA akaleta ngurumo na mvua ya mawe, na moto ukashuka juu ya nchi; BWANA akanyesha mvua ya mawe juu ya nchi yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Kut. 9

Mtazamo Kut. 9:23 katika mazingira