Mik. 1:1 SUV

1 Hili ndilo neno la BWANA lililomjia Mika, Mmorashti, katika siku za Yothamu, na Ahazi, na Hezekia, wafalme wa Yuda; maono aliyoyaona katika habari za Samaria, na Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Mik. 1

Mtazamo Mik. 1:1 katika mazingira