16 Jifanyie upaa, jikate nywele zako,Kwa ajili ya watoto waliokufurahisha;Panua upaa wako kama tai;Kwa maana wamekwenda mbali nawe utumwani.
Kusoma sura kamili Mik. 1
Mtazamo Mik. 1:16 katika mazingira