Mik. 1:5 SUV

5 Kwa sababu ya kosa la Yakobo yametokea haya yote, na kwa sababu ya makosa ya nyumba ya Israeli. Nini kosa la Yakobo? Je, silo Samaria? Na nini mahali pa Yuda palipoinuka? Sipo Yerusalemu?

Kusoma sura kamili Mik. 1

Mtazamo Mik. 1:5 katika mazingira