8 Kwa ajili ya hayo nitaomboleza na kulia,Nitakwenda nimevua nguo, ni uchi;Nitafanya mlio kama wa mbweha,Na maombolezo kama ya mbuni.
Kusoma sura kamili Mik. 1
Mtazamo Mik. 1:8 katika mazingira