Mik. 3:3 SUV

3 Naam, mnakula nyama ya watu wangu, na kuwachuna ngozi zao, na kuivunja mifupa yao; naam, kuwakata vipande vipande kama kwa kutiwa chunguni, na kama nyama sufuriani.

Kusoma sura kamili Mik. 3

Mtazamo Mik. 3:3 katika mazingira