Mik. 3:5 SUV

5 BWANA asema hivi katika habari za manabii wanaowakosesha watu wangu; hao waumao kwa meno yao, na kulia, Amani; na mtu awaye yote asiyetia kitu vinywani mwao, wao humwandalia vita.

Kusoma sura kamili Mik. 3

Mtazamo Mik. 3:5 katika mazingira