Mik. 3:8 SUV

8 Bali mimi, hakika nimejaa nguvu kwa roho ya BWANA; nimejaa hukumu na uwezo; nimhubiri Yakobo kosa lake, na Israeli dhambi yake.

Kusoma sura kamili Mik. 3

Mtazamo Mik. 3:8 katika mazingira