12 Lakini wao hawayajui mawazo ya BWANA, wala hawafahamu shauri lake; kwa maana amewakusanya kama miganda sakafuni.
Kusoma sura kamili Mik. 4
Mtazamo Mik. 4:12 katika mazingira