Mik. 6:15 SUV

15 Utapanda, lakini hutavuna; utazikanyaga zeituni, lakini hutajipaka mafuta; na hizo zabibu, lakini hutakunywa divai.

Kusoma sura kamili Mik. 6

Mtazamo Mik. 6:15 katika mazingira