Mik. 6:6 SUV

6 Nimkaribie BWANA na kitu gani, na kuinama mbele za Mungu aliye juu? Je! Nimkaribie na sadaka za kuteketezwa, na ndama za umri wa mwaka mmoja?

Kusoma sura kamili Mik. 6

Mtazamo Mik. 6:6 katika mazingira