Mik. 7:6 SUV

6 Kwa maana mwana humwaibisha babaye, na binti huondoka ashindane na mamaye; na mwanamke aliyeolewa hushindana na mavyaaye; adui za mtu ni watu wa nyumbani mwake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Mik. 7

Mtazamo Mik. 7:6 katika mazingira