Mik. 7:9 SUV

9 Nitaivumilia ghadhabu ya BWANA, kwa kuwa nimemwasi; hata atakaponitetea teto langu, na kunifanyia hukumu; atanileta nje kwenye nuru, nami nitaiona haki yake.

Kusoma sura kamili Mik. 7

Mtazamo Mik. 7:9 katika mazingira