Mwa. 1:12 SUV

12 Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

Kusoma sura kamili Mwa. 1

Mtazamo Mwa. 1:12 katika mazingira