Mwa. 1:24 SUV

24 Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo.

Kusoma sura kamili Mwa. 1

Mtazamo Mwa. 1:24 katika mazingira