Mwa. 1:28 SUV

28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

Kusoma sura kamili Mwa. 1

Mtazamo Mwa. 1:28 katika mazingira