Mwa. 10:9 SUV

9 Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda wanyama mbele za BWANA.

Kusoma sura kamili Mwa. 10

Mtazamo Mwa. 10:9 katika mazingira