Mwa. 11:29 SUV

29 Abramu na Nahori wakajitwalia wake. Jina la mkewe Abramu aliitwa Sarai, na jina la mkewe Nahori aliitwa Milka, binti Harani, ambaye alikuwa baba wa Milka na wa Iska.

Kusoma sura kamili Mwa. 11

Mtazamo Mwa. 11:29 katika mazingira