Mwa. 11:6 SUV

6 BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.

Kusoma sura kamili Mwa. 11

Mtazamo Mwa. 11:6 katika mazingira