Mwa. 12:8 SUV

8 Kisha akaondoka huko akaenda mpaka mlima ulio upande wa mashariki wa Betheli, akaipiga hema yake; alikuwa na Betheli upande wa magharibi, na Ai upande wa mashariki, akamjengea BWANA madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA.

Kusoma sura kamili Mwa. 12

Mtazamo Mwa. 12:8 katika mazingira