Mwa. 14:10 SUV

10 Na bonde la Sidimu lilikuwa limejaa mashimo ya lami. Nao wafalme wa Sodoma na Gomora wakakimbia, wakaanguka huko, nao waliosalia wakakimbia milimani.

Kusoma sura kamili Mwa. 14

Mtazamo Mwa. 14:10 katika mazingira