Mwa. 15:1 SUV

1 Baada ya mambo hayo neno la BWANA likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana.

Kusoma sura kamili Mwa. 15

Mtazamo Mwa. 15:1 katika mazingira