13 BWANA akamwambia Abramu, Ujue hakika ya kwamba uzao wako utakuwa mgeni katika nchi isiyo yake, watawatumikia watu wale, nao watateswa muda wa miaka mia nne.
Kusoma sura kamili Mwa. 15
Mtazamo Mwa. 15:13 katika mazingira