Mwa. 16:12 SUV

12 Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.

Kusoma sura kamili Mwa. 16

Mtazamo Mwa. 16:12 katika mazingira