Mwa. 16:2 SUV

2 Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.

Kusoma sura kamili Mwa. 16

Mtazamo Mwa. 16:2 katika mazingira