Mwa. 17:16 SUV

16 Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake.

Kusoma sura kamili Mwa. 17

Mtazamo Mwa. 17:16 katika mazingira